Kundasenyi
Member
- Apr 11, 2011
- 58
- 2
Movie za hollywood na za bollywood zipi zenye hisia za ukweli na kila unapotazama zina kufunza jambo lenye manufaa katika maisha yako...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Movie za hollywood na za bollywood zipi zenye hisia za ukweli na kila unapotazama zina kufunza jambo lenye manufaa katika maisha yako...
kwa hisia tu, bollywood wako juu ila mambo mengine yote wamepigwa gap la maana na hollywood:lalala:
Bollyhood ilikuwa zamani
kwa filamu za mapenzi.. bollywood wapo juu nawakubali mpaka leo
bollywood wanacopy movies za hollywood wanacheza kihindi, utakuwaje juu kwa kazi ya kukopi???? only in kiliawards!!!!
ni sawa kusema bongo movies ni zaidi ya nollywood, you must be joking!!!!!
Unaota wewe!!Tollywood wanatisha zaidi.
Hollywood na Bollywood ni kama Mbingu na Ardhi babu...........Bollywood wameachwa mbali sana aisee,kwangu mimi naona Bollywood wanazidiwa hata na akina Leon Schuster wa South Africa
Acha kuchekesha walionuna wewe...Hata Bongowood nao ni wakali!