Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apumzike kwa amani.
Kwenye movie ya mujhse shaadi karogi alikua ananichesha sana mara aamke kiziwi mara kipofu. Wazee wa bollywood wanazid kupungua tu masikini
Comedian mzuri mno, Amitabh Bachchan alipotaka kujiingiza kwenye siasa. Huyu bwana ndiye aliyemshauri asiguse siasa, ila akawa mbishi akajiingiza yakamfika makubwa.
Mara nyingi kwenye filamu hucheza kama mchekeshaji, adui au baba. Akiwa ameandika kazi kadhaa ikiwemo Desh Premee ambayo nato ameigiza na Amitabh