Je! sanaa ya uigizaji ya INDIA imegawanyika?
Wajinga sana watu hawa😅Je! sanaa ya uigizaji ya INDIA imegawanyika?
umeniacha njiani kaka mkubwa.Wajinga sana watu hawa😅
View attachment 2277633
Wahindi ni wagonjwa sana wa rangi nyeupe kama walivyo wasukuma.Udhaifu mkubwa ni racism. Hawapendi kuonesha watu weusi. Hata John Lever alikuwa cast ktk role za ucheshi na hazikumlipa kama waliomkuta ktk gemu. He was made to be insignificant actor.
Ila wewe umeelekea ni mpenzi wa Shah Rukh Khan (SRK). Mashabiki wake wanaitwa SRKiansStory kali.
Kuchkuch Hotae
Abigush Abigum
Karhonao
Mohabatein
south indian muvi zao kali sana.Tamil ndio habari ya mjini saivi, Bollywood wanaanza kuachwa mbali na hawa jamaa wa Tamil. Ushahidi hayo ni jinsi gani movie 3 za Tamil zilivokuwa succesful. Movie hizo ni
1. Pushpa the Rise
2. KGF chapter 2
3. RRR
Nimeacha kufatilia movie kidogo kulingana na mazingira. Ila mpaka sasa nafkri story konki nyingi za bolhood zinaongozwa na Sharuk.Ila wewe umeelekea ni mpenzi wa Shah Rukh Khan (SRK). Mashabiki wake wanaitwa SRKians
Nimeyaandika kama tulivyokuwa tunatamka kipindi hicho hahaaaaaMitsun Chakaraboti. - Mithun Chakraborty; Amitha Bachnan
Ajay - Ajay Devgan; San Deo - Sunny Deol
Govinda (Yaya); Mzee Deni
Kuna yule mzee ananyoa upala ana bichwa kubwa ni villain mara nyingi kacheza ktk Mohra - Amrish Puri?
Jekshirofa - Jackie Shroff; Zalumenda - Dharmendra
Akshay na Sunil Sheti - Akshay Kumar
Mzee Ashanti; Sunjay dutty
Samal Khan - Salman Khan; Amir khan
Kajor - Kajol Devgan Kareena Kapor - Kareena Kapoor
Yule mkewe na Amita ( kaeti naye picha nyingi) - Jaya Bacchan
John liva - Johnny Lever
Shilpa Shetty
Inaonekana na wewe ni mdau. Hivi unajua au ulifatilia inshu ya Kajol na Sharuk?Mitsun Chakaraboti. - Mithun Chakraborty; Amitha Bachnan
Ajay - Ajay Devgan; San Deo - Sunny Deol
Govinda (Yaya); Mzee Deni
Kuna yule mzee ananyoa upala ana bichwa kubwa ni villain mara nyingi kacheza ktk Mohra - Amrish Puri?
Jekshirofa - Jackie Shroff; Zalumenda - Dharmendra
Akshay na Sunil Sheti - Akshay Kumar
Mzee Ashanti; Sunjay dutty
Samal Khan - Salman Khan; Amir khan
Kajor - Kajol Devgan Kareena Kapor - Kareena Kapoor
Yule mkewe na Amita ( kaeti naye picha nyingi) - Jaya Bacchan
John liva - Johnny Lever
Shilpa Shetty
Na hakuwa na godfather kwenye movie industry, alipambana mwenyewe kwa kiwango kikubwa.Pia kutoboa kwake haikuwa easy ni muislam na wahindi na waislam si unajua tena
Mimi ni mdau mkubwa wa SRK.Inaonekana na wewe ni mdau. Hivi unajua au ulifatilia inshu ya Kajol na Sharuk?
Baada ya movie ya Kuch Kuch Hotae?
Nakumbuka kuna jamaa mmoja alikuwa mpaka ananunua magazeti yale majarida ya kihindi kipindi hicho kuhusu Kajol na Sha.
Inasemekana walianza mahusiano. Wakati Kajol alikuwa mke wa ndoa wa Ajay.
Ikapelekea mpka talaka kama sikosei...
Dilwale Dulhania Le Jayenge ni moto wa hatari sana ule, story imepikwa ikawiva.Mimi ni mdau mkubwa wa SRK.
Siyo kweli ni rumors tu. SRK na Kajol wametengeneza movies nyingi pamoja baada ya Kuch kuch hota hai, ya karibuni ilikuwa Dilwale (2015). Wahindi wanawapenda sana pair hii.
Movie yao ya kwanza kuwapa umaarufu ilikuwa Baazigar (1993) lakini ambayo imevunja rekodi ni DDLJ (DIlwale Dulhanai le Jayenge?) ya mwaka 1995. Movie hii mpaka hii leo baada ya miaka 27 kila siku inaonyeshwa kwenye theater moja inaitwa Maratha Mandir theater.