Bollywood | Special Thread

Nawafuatilia kiasi wahindi lakin nina hiyar sana niangalie movie za kusini ndo naona nazielewaga kuliko wale wa upande mwingine kwa sababu upande wa action movie story nyingi huwa naon wanaiba tu
 
Tamil ndio habari ya mjini saivi, Bollywood wanaanza kuachwa mbali na hawa jamaa wa Tamil. Ushahidi hayo ni jinsi gani movie 3 za Tamil zilivokuwa succesful. Movie hizo ni
1. Pushpa the Rise
2. KGF chapter 2
3. RRR

Bollywood wataendelea kuwa No 1. Hizo movie ni za mchoo tu. Hawawezi kuw na consistence ya kupambana na Bollywood.
 
Upo vizuri sana mkuu
 
Nawafuatilia kiasi wahindi lakin nina hiyar sana niangalie movie za kusini ndo naona nazielewaga kuliko wale wa upande mwingine kwa sababu upande wa action movie story nyingi huwa naon wanaiba tu

wanaiba vipi mkuu?
 
Hao exchange ni kazi yao. Leo filam ya Telugu kesho utaona imekuwa acted kwa hindu na kadhalika. Unadhani kila siku wanapata wapi hizo stori za kupeleka theater? Hata za kizungu huwa wanazifanyia adaptation kwenda kihindu.
 
Lakini huwa wanaiba idea sana.
Nakumbuka ilianza Van Dame msalabani ikaja Sunjay dat msabani halafu ktk Koshman koyla waliiga idea ya teminator
 
Ni kweli kabisa. Hata hii ya SRK ya mwisho Jab Harry met Sejal wameiba idea kutoka When Harry met Sally.
 
Tamil ndio habari ya mjini saivi, Bollywood wanaanza kuachwa mbali na hawa jamaa wa Tamil. Ushahidi hayo ni jinsi gani movie 3 za Tamil zilivokuwa succesful. Movie hizo ni
1. Pushpa the Rise
2. KGF chapter 2
3. RRR
Bwana tamil ukutane na Allu arjun akina Ntr ,Vijay.Suriya na wengine lazima ukae utulie maana wana movie zenye mafunzo na huchoki kuziangalia...

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Huko kwa sasa ndo wanamaliza bando langu maana jamaa wana movie kali hatari

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Bollywood wataendelea kuwa No 1. Hizo movie ni za mchoo tu. Hawawezi kuw na consistence ya kupambana na Bollywood.
Hakuna kitu mkuu south kwa sasa ndo habari ya mjini akina zama za kina khan huko zimeisha sasa hizi kuna miamba huko inatisha ww kaangalie pushpa utaipenda

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Lakini huwa wanaiba idea sana.
Nakumbuka ilianza Van Dame msalabani ikaja Sunjay dat msabani halafu ktk Koshman koyla waliiga idea ya teminator

Mkuu adoption ni kitu cha kawaida sana kwenye sanaa, hata huko Hollywood sio kila kitu unachokiona ni Original content, Kuna adoption kutoka filamu za sehemu nyengiine, kuna adoption kutoka kwenye filamu za zamani, na hata story kutoka kwenye books na Biography za watu mashuhuri. Ni vitu vya kawaida sana.
 
Hakuna kitu mkuu south kwa sasa ndo habari ya mjini akina zama za kina khan huko zimeisha sasa hizi kuna miamba huko inatisha ww kaangalie pushpa utaipenda

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app

tatizo lenu linarudi pale pale, kwa filamu mbili tatu tu munaona tayari ni take over, Bollywood kutoa filamu mashuhuri ni kitu cha kawaida wakati South wakitoa moja au mbili ndio shangwe linakua kama hivo.
 
Ni kweli kabisa. Hata hii ya SRK ya mwisho Jab Harry met Sejal wameiba idea kutoka When Harry met Sally.
wahindi wanapenda sana kufanya remake kutoka Hollywood mfano ile movie ya Bang Bang! Ni remake ya Knight and Day
 
Wahindi walikuwa na uongo sana kwenye action mtu anapigwa kofi had anapaa,. Hapa walinifanya nichukie movie zao za action angalau sahv wameanza kuweka uwalisia kidogo. Ila Ila kwenye drama na romantic movies jamaa wapo vizuri sana
 
hio movie ya drishyam inaonesha jinsi gan kiongozi wa familia (baba) anavyo weza kwenda extra mile ili kulinda heshima na kutetea familia yak, pia usifanye Siri na watu wenye mioyo myepesi kama mtoto wake mdogo alipoona kipigo kimezidi Kwa mama ake ikabidi atoe Siri walipozika maiti sema jamaa alijiongeza kuihamisha.
 
Story ilitulia japo hii ni version ya malayam movie,ila Ile original kwangu sio kali sana kama hii
 
Drishyam ni filamu moja Safi sana, Ajay Devgn amepiga moja ya performance yake bora kabisa na mwanadada Tabu akiwa kwenye kiwango Bora, Huyu dada ni katika waigizaji bora kabisa Bollywood.

Kuna Drishyam 2 ipo njiani inakuja, naona Akshaye Khanna ameengezeka kwenye Cast, Naisubiri kwa hamu sana.
 
Story ilitulia japo hii ni version ya malayam movie,ila Ile original kwangu sio kali sana kama hii

Siku zote vision za Bollywood zinakua na ubora ukilinganisha za South. Ndio mana mimi Bollywood remarks za South India hazinikeri kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…