Bollywood | Special Thread

Wahindi walikuwa na uongo sana kwenye action mtu anapigwa kofi had anapaa,. Hapa walinifanya nichukie movie zao za action angalau sahv wameanza kuweka uwalisia kidogo. Ila Ila kwenye drama na romantic movies jamaa wapo vizuri sana

Huo uongo ni starehe kwa wengine mkuu, Hiyo ni style ya sinema ambayo inapendwa sana India na ina mashabiki wengi sana. na ndio mana bado zinaendelea kutengenezwa Cinema za aina hiyo.
 
Bollywood itabaki kuwa Bora kuliko zote India.
Hao Tamil ni industry ndogo sn kulinganisha na Hindu.
 
Imetoka muendelezo wake Drishyam 2
 

Mzee hii kitu ni habari nyengine kabisa


View: https://www.youtube.com/watch?v=cxA2y9Tgl7o&t=21s
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…