BOLT & Mo FARAH

wiser1

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
2,541
Reaction score
3,872
Wanamichozo mambo vipi? Aiseee km tu kichwa kilivyotaja hapo juu.

Watu hao maarufu kwa kukimbia mbio fupi ( bolt) na ndefu ( mohamed Farah) wameshindwa kuonesha ubabe wao Leo ktk London marathon.

Bolt ambae anastaafu( baada ya kukimbia kwa muda wa miaka 15 na kushikilia nafasi yake kwa muda wa miaka 11) na Leo ndo mwisho wake kukimbia kutokana na majeraha ya mguu wake ambao umesababisha kushindwa kumaliza mbio fupi za makundi wakati mwenzie Mo Farah kashindwa kupata medali ya dhahabu na kuambulia ya Silver huku medali ya dhahabu ikiondoka na Muethiopia...[emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji3] [emoji2] [emoji1]

ila tz mmmh sijui tuna nn?...hata team hatuna? Duuuh Weeeee kuna watu wanakimbia bhanaaa!

Wasalam....mlale unono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cc wa tz! majungu, umbea, kufuatiliana maisha... hapo tutatangazwa mabingwa wakati tunapasha tu, kabla hata hatujaingia uwanjani!
 
Ccm ni uchuro mpaka itoke ndio Tanzania tutaendelea katika sekta zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…