TheMnyonge
JF-Expert Member
- Mar 25, 2022
- 738
- 1,886
Bora kukomaa na hizi hizi ngumu lakini halali, maana rahisi nyingi ni haramu...Nasikia biashara imekua ngumu
INSIDER MAN
Mwambie mwenye gari afunge system ya gesi kama uko Tanzania / Dar es salaam. Kama uko Tanganyika/ mafuta bei yake siyo rafiki.unapataka kaka amini
Bei ya bajaji hii kaka tena ni tsh 25kUber hesabu yake si niliskia 20??
Kama 40 basi kumbe faida ipo sana
Na vipi ikiwa sio ya mkataba?Daah! Jamaa amekulalia
Kimsingi kama gari ya mkataba kwa siku hesabu ni 30k ila sio 40k
Hua ni 20KBaada ya kupigika mno, nimeomba gari ya mtu walau nijipatie pesa kidogo kusogeza siku mjini!
Gari niliyopata ni Passo, 3 piston n'a cc990
Jamaa ananiambia anataka nimpatie hesabu ya 40k kwa siku, mafuta juu yangu!
Wenye ujuzi niambieni, hii imekaa sawa?
Kwa hesabu hii ninaweza kupata hesabu ya boss wakati huo huo nipate pesa ya kunisaidia binafsi?
Kwa yeyote anauefanya hii biashara, tafadhali naomba mwongozo, ni Mara ya kwanza naingia road kwa hii business !
Ikiwa sio ya mkataba bei itapungua maana inakua kama day worker sasa sijajua huyo jamaa yake.Na vipi ikiwa sio ya mkataba?