House4Sale Boma kubwa linauzwa mil 23 tu (INA HATI)

House4Sale Boma kubwa linauzwa mil 23 tu (INA HATI)

makinika18

Member
Joined
Nov 16, 2018
Posts
77
Reaction score
108
Ipo Kibaha picha ya ndege Master bedroom 1
Vyumba vya kulala vi4
Jiko na store
Public toilet
Parking
Kiwanja ni 515square metres
Mashimo mawili ya choo
Kina HATI

Bei ni 23mil maongezi yapo

Kwa mawasiliano zaid 0654909390 (MMILIKI SIO DALALI).

IMG-20220826-WA0270(1).jpg
IMG-20220826-WA0267(1).jpg
IMG-20220826-WA0266(1).jpg
IMG-20220826-WA0268(1).jpg
IMG-20220826-WA0269.jpg
IMG-20220826-WA0271(1).jpg
IMG-20220826-WA0272(1).jpg
 
Huo.mpaka wa hiyo nyumba kama mpaka ni huo mchai mchai umepanda naona hiyo nyumba kuna mgogoro na jirani ukitaka kujenga ukuta

Ugkmvi lazima ulipuke na huyo jirani.mwenye nyumba yenye bati la bluu
 
Pole kwa mafua mkuu... maana sio kwa mwandiko huu!!
Zoom hiyo picha utaona nyumba ya jirani yake ina bati la bluu .Angalia hapo huwezi jenga fence hapo bila mgogoro kulipuka na jirani mpaka ni huo mchai mchai amepanda mashina yake naona hiyo nyumba kuna mgogoro na jirani ukitaka kujenga ukuta

Ugomvi lazima ulipuke na huyo jirani.mwenye nyumba yenye bati la bluu
 
Huo.mpaka wa hiyo nyumba kama mpaka ni huo mchai mchai umepanda naona hiyo nyumba kuna mgogoro na jirani ukitaka kujenga ukuta

Ugkmvi lazima ulipuke na huyo jirani.mwenye nyumba yenye bati la bluu
Kuanzia Lini wizara ya Ardhi imeanza kutoa hati za viwanja kwa kuzingatia mipaka ya mchai chai mkuu? Kiwanja kina hati na mipaka yake hata haiihitaj kelele na mtu kwa sababu ina vipimo vya wizara ya Ardhi
 
Back
Top Bottom