House4Sale Boma la nyumba linauzwa

House4Sale Boma la nyumba linauzwa

jerryempire

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
5,530
Reaction score
9,550
Nauza boma lipo
Majohe Kichangani
Ukubwa wa kiwanja ni 31×30

Nyumba ina vyumba 3 kimoja master
Pia pembeni nyumba in frame 4 za biashara
Ni mjini sana na umeme, maji na barabara vyote vipo na pamepangika kimitaa.

Na hatua za awali za upimaji zimeshaanza bikoni zimeshaanza kuwekwa.
Naiuza kwa sh 28m tu.

0623953036 call/whatsapp

IMG-20200823-WA0082.jpg
IMG-20200823-WA0081.jpg
 
31 ni foot au metre ama cm, kipimo kinaandikwa kwa maelezo yaliyonyooka
 
Back
Top Bottom