Nauza boma lipo
Majohe Kichangani
Ukubwa wa kiwanja ni 31×30
Nyumba ina vyumba 3 kimoja master
Pia pembeni nyumba in frame 4 za biashara
Ni mjini sana na umeme, maji na barabara vyote vipo na pamepangika kimitaa.
Na hatua za awali za upimaji zimeshaanza bikoni zimeshaanza kuwekwa.
Naiuza kwa sh 28m tu.