INAUZWA Boma linauzwa Kigamboni

Joined
May 8, 2021
Posts
34
Reaction score
18
Boma lipo kisiwani kigamboni
Lina vyumba vitatu kimoja master
Sitting room dining room jiko na
Public toilet plot Ina 15×20 Bei
Milioni kumi na tano ml 15 nicheki
0787672719
0713672719

Bagamoyo Road iko njema yani[emoji28] kule patamu!

Ila kuvuka maji kisha unatembea tena kipande kirefu dah noma nawaza siku pantoni lizingue mzame baharini[emoji28]
Kimbunga JOBO kiliwahamisha makazi kwa muda [emoji28][emoji28][emoji28] huko tuwaachie wavuvi wa pemba na ntwara, masasi
 
Kigamboni sijawahi kupaelewa kabisa yani! Kwanza ile hali ya kuvuka maji ndio nifike home kwangu naichukia kweli sitamani hata kupanga.
Sisi wakazi wa pande za huku huwa tunawashangaa nyie ambao hampaelewi kigambn. Serikali yenyewe inaiangalia kiga kwa jicho la husda
 
Sisi wakazi wa pande za huku huwa tunawashangaa nyie ambao hampaelewi kigambn. Serikali yenyewe inaiangalia kiga kwa jicho la husda
Nyie kaeni kisiwani huko 😅 Kigamboni ni Zanzibar iliochangamka
 
Kimbunga JOBO kiliwahamisha makazi kwa muda [emoji28][emoji28][emoji28] huko tuwaachie wavuvi wa pemba na ntwara, masasi
Hahahahah ni zenji iliochangamka ile. Sehemu salama ni darajani pa kulipa elfu 3 kila siku kwenda na kurudi!

Nalipa 90K kwa ajili ya kulala na kuamkia kwangu tu hilo sio sawa! Tuwaachie matajiri kule 😅
 
Hahahahah ni zenji iliochangamka ile. Sehemu salama ni darajani pa kulipa elfu 3 kila siku kwenda na kurudi!

Nalipa 90K kwa ajili ya kulala na kuamkia kwangu tu hilo sio sawa! Tuwaachie matajiri kule [emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuna nafuu tuwaachie wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…