Kenya 2022 Bomas washaliunda bomu

Kenya 2022 General Election

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Uchaguzi ulienda vizuri kwa amani na kwa wakati nchi nzima,sasa sijui nini kilitokea kukatokea sintofahamu.

Ghafla wakasimamisha utangazaji na kuanza zoezi kuhakiki !mara wazungukie huku mara watokee huku!wananchi wanasubiri.

Hawa wakubwa nionavyo wametengeneza bomu ambalo wanasubiri tu muda wakulilipua.ee mungu epusha mabaya yote katika anga letu afrika ya mashariki.
 
Mbona Tanzania walikwapua live na bomu halikulipuka

Mbona Tanzania walizima Internet, wakazima platform za twitter, Facebook, WhatsApp na YouTube na bomu halikulipuka.

Ya Kenya Waache wakenya

Kenya ilishapiga hatua miaka 100 mbele ya Tanzania

Wakenya wanafanya kazi za kuajiriwa karibu kila nchi za Afrika na walipitia interview, Vijana wa Tanzania interview tu ya TRA na BoT wanashindwa kufaulu, Je wataweza kwenda kuongoza Makampuni Nchini Kenya au Marekani?

Academy na International school Tanzania wanaofundisha na kuamini wa ni wakenya wengi, Nenda Kenya wewe mtanzania au Rwanda kama utapata kazi kama wao wanavyopata kwetu

Wewe Endelea kula wali na ugali unaopikiwa na familia yako, Mambo ya Kenya sio size yako, Unachojua wewe mtanzania ni umbea na udaku udaku tu.

Ya Tanzania na familia yako hivyo u nafuatilia mambo ya Kenya nchi ambayo mfumo wa uchumi, demokrasia na elimu wametuzidi miaka 100 mbele
 
Uchaguzi ulienda vizuri kwa amani na kwa wakati nchi nzima,sasa sijui nini kilitokea kukatokea sintofahamu...ghafla wakasimamisha utangazaji na kuanza zoezi kuhakiki...
Kenya sio shithole yenu we mtoto wa mama Samia shughulika na yenu.
 
Bragging za kishamba kama hizi zaonyesha jinsi uko na low Iq
 
Insha ndeefu, imejaa utopolo tu. Mengi umeandika ni mambo ya early 2000's and 90's huko
 
Hakuna mijitu mipumbavu halafu mipunguani kama mleta mada
 
Kenya labda wamepiga hatua katika kudumisha ukabila na kuongea lugha ya makabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…