Bomb on Kenya-to-Uganda bus kills 1

Actually wakati huu tunapoongea kuna tishio kubwa sana la ugaidi kufanywa katika maeneo ya Africa Mashariki, na kuna warning na security measures zipo on force...sijui hili la basi kama ni mojawapo.
 
Bila shaka hii thread sasa inaweza kuunganishwa na nyingine mbili au tatu juu ya jambo hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…