DOKEZO Bomba la DAWASA lapasuka Mbezi Beach, siku ya 4 halijafanyiwa matengenezo

DOKEZO Bomba la DAWASA lapasuka Mbezi Beach, siku ya 4 halijafanyiwa matengenezo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hawa washenz,siku moja niko nakatisha mitaa ya majengo mbeya nikakuta bomba limepasuka, nikatafuta namba zao online nayapigia mara kibao hawakupokea

Hata hawakuni-call back kuniuliza kwann nimeyapigia

wabantu changamoto sanaa
 
Uzembe unaofanywa na meneja wa DAWASCO Kawe jijini Dar es-Salaam.

View attachment 2422811
Watanzania mnapenda sana kuendekeza Anasa kwa kutumia maji ya bomba.

Kwani mkitumia maji kutoka vyanzo vingine kama mtoni mtapungukiwa na nini?

Kila siku tu malalamiko hadi imekuwa kero

Mbona mababu zetu hawakutumia maji ya bomba enzi zao na maisha yao yalienda na walikuwa na furaha hata wakati wa kiangazi?
 
Hawa washenz,siku moja niko nakatisha mitaa ya majengo mbeya nikakuta bomba limepasuka,nikatafuta namba zao online nayapigia mara kibao hayakupokea shenz kweli na hata hayakuni-call back kuniuliza kwann nimeyapigia,wabantu changamoto sanaa
Cha kushanganza hupati hata muda mara moja kwa mwaka kuwapigia na kuwajulia hali wazazi wako waliokulea na kukusomesha kwa shida hadi umekua unajitegemea. Fikiria nao waliishi bila maji ya bomba.
 
Unanijua sana inaonekana sio,au ndo namna yako yakuchangia hii thread inayohusu dawasco
Mkuu Mbona mbishi. Utapungukiwa nini ukiwapigia wazazi wako na kuwajulia hali japo dakika tano tu mara moja kwa mwaka?

Please 🙏 just do that. Don't you see you are missing blessings?
 
Mkuu Mbona mbishi. Utapungukiwa nini ukiwapigia wazazi wako na kuwajulia hali japo dakika tano tu mara moja kwa mwaka?

Please [emoji120] just do that. Don't you see you are missing blessings?
Asante,but just to let you know I always on call with my parents,I always keep them posted on everything so you're dealing with the wrong one mAster, thanks for the reminder,I appreciate
 
Asante,but just to let you know I always on call with my parents,I always keep them posted on everything so you're dealing with the wrong one mAster, thanks for the reminder,I appreciate
Mkuu dah nia yangu ilikuwa unitukane nifurahi kukuwin kisaikolojia lakini dah unanijibu kwa staha yani nimefadhaika kichiz. Ngoja nitemane na wewe nitafute mnyonge mwengine.

hydroxo ngenya Ncha Kali Darmian kikiboxer Prince Kunta
 
Maeneo mengi dsm yalokuwa na utiririshaji wa maji kiholela yameonekana kuwa makavu kipindi hiki cha changamoto ya maji.

ni wazi kuwa DAWASCO, inahitaji kurekebisha mifumo ya maji ili kudhibiti upeteaji wa maji
 
Watanzania mnapenda sana kuendekeza Anasa kwa kutumia maji ya bomba. Kwani mkitumia maji kutoka vyanzo vingine kama mtoni mtapungukiwa na nini? Kila siku tu malalamiko hadi imekuwa kero. Mbona mababu zetu hawakutumia maji ya bomba enzi zao na maisha yao yalienda na walikuwa na furaha hata wakati wa kiangazi?
Hao mababu zenu walishakufa, wengi wao walikufa kwa minyoo ama kichocho…. unataka kuwaiga?
 
Back
Top Bottom