FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwa Dar kwa kweli ni swala la muda tu, kwa spidi hii ya usambazaji wa maji, wasambazaji wa maji watabaki wachache sana.Usisahau miradi ya Maji ikikamilika hayo mabozer/matenka yatatumika kwa kufyonzea Maji taka.
Kweli kabisa mkuu. Maji yanasambaa kwa kasi ya ajabu.Kwa Dar kwa kweli ni swala la muda tu, kwa spidi hii ya usambazaji wa maji, wasambazaji wa maji watabaki wachache sana.
hilo la TAZAMA mbona lipo miaka nenda rudi lakini mbona magari nayo yanasafirisha?Nasikia kuna huu mradi wa bomba la mafuta from Dar to Mwanza, umefikia wapi? Na nini hatma ya wamiliki wa fuel tankers? Pia bei yake kwa Mwanza itashuka kwa lita?
Mkuu yamefika wapi now?Kweli kabisa mkuu. Maji yanasambaa kwa kasi ya ajabu.
Mtwara kuna nafasi za kazi kupakia korosho kwenye malori ya jeshi, wahi sasa.Nasikia kuna huu mradi wa bomba la mafuta from Dar to Mwanza, umefikia wapi? Na nini hatma ya wamiliki wa fuel tankers? Pia bei yake kwa Mwanza itashuka kwa lita?
Naomba kuelimishwa kwa upole tu, ni kwamba bomba halitoshelezi mahitaji au tatizo ni uwezo mdogo wa refinery? Naomba elimu..hilo la TAZAMA mbona lipo miaka nenda rudi lakini mbona magari nayo yanasafirisha?
Kulikuwa na mchakatu unaendelea, ila ghafla nikaona kimyaZamani yote walikuwa wapi ,mbona sijaliskia Kwenye awamu ya viwanda
Kulikuwa na mchakatu unaendelea, ila ghafla nikaona kimya
Itabidi wabadilishe kazi wafanye magari ya kunyonyea maviKwa Dar kwa kweli ni swala la muda tu, kwa spidi hii ya usambazaji wa maji, wasambazaji wa maji watabaki wachache sana.
Mimi kwa mawazo yangu sidhani kama inaweza kuwa tatizo. Najaribu kuwaza kwa upande wa Zambia lipo lile bomba la TAZAMA lakini tankers zaenda daily. Tena siku si nyingi kulikuwa na mgogoro kwamba Lorries za kutoka kwetu hapa ziache kwenda na mafuta kwenye tanks zao za akiba ili angalau wawe wanajaza kwenye petrol stations zao kule Zambia. Kama hamna tankers zinazopeleka mafuta huko niko tayari kusahihishwa katika hili.