Bomba la mafuta Hoima-Tanga bado kizungumkuti

Kwa hiyo, flyover wanayotujengea Wachina pale Ubungo ni kurpu?
 
Kwa hiyo, flyover wanayotujengea Wachina pale Ubungo ni kurpu?

Kuna tofauti sana kati ya kujenga mradi na kufadhili mradi,
Pale ubungo ni kampuni ya china ndiyo ilishinda tender, pesa hawatoi wao na ndio maana kuna consultant pia ambae siyo mchina,
Kama ni mfuatiliaji wa haya mambo utakuwa na taarifa tangu huu mradi unakuwa advertised na Tanroads na makampuni mengi yakashindana na mwishowe China Civil ikashinda..kwaiyo kazi yao ni kujenga tu,
Ni tofauti na miradi ya kenya kama sgr, wanatoa wao hela, wanajenga wenyewe, wanasimamia wenyewe, no consultancy,
 
Mkuu naomba kujuavjina la kampuni
Sent using Unknown device
 
Kwa mivutano hii IMF usitegemee ule mradi kuendelea.. Hali mbaya kuliko wananchi mnavyofikiria
 
f
The mind game being played by Uganda against Tz is out of this world. Museveni amewajua hawa watu kuwa omba omba so anawatumia vilivyo to consolidate power huku wakingoja mkono uanguke kama fisi.
Fisi(kenya) katolewa nje ya zizi udenda kibao anaombea mradi ukwame ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
KENYA wako kazini. Bomba alijengwi tena TANZANIA
 
We jamaa roho inakutokaa bomba linakutoa macho,basi kaliamishe lipitie Lamu kwenye bandari yenu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Kwa mivutano hii IMF usitegemee ule mradi kuendelea.. Hali mbaya kuliko wananchi mnavyofikiria
Braza tafuta hela acha kuota jf[emoji16][emoji16][emoji16], uraiani maisha yanaendelea kama kawaida.
 
Uganda inabidi awe makini huku kuchelewa ona sasa bei ya Mafuta Inaenda kupanda kwasababu kuanzia mwezi January Iran Inaenda kuwekewa vikwazo . Uganda alikuwa na nafasi nzuri kujijengea Uchumi wake kupitia hili bomba Mafuta
 
China bids for Turkana oil as Tullow and Total count losses ...
CNOOC is bidding to buy Tullow and Total share holding in Turkana oil as they seek to reduce their holding following financial challenges faced by Tullow, the main shareholder. CNOOC is emerging as the main contender for Turkana oil. This means CNOOC will bundle Kenya and Uganda oil together oil as single asset. Therefore the future of Hoima-Tanga oil pipeline is hanging in a precarious position as plans are underway to revive the Hoima-Turkana-Lamu pipeline as a route to international markets once CNOOC, the main contender for purchase finalize the transaction.......
 
ichoboy01 ulisema mumefikia wapi kwa Bomba la Hoima-Tanga? ๐Ÿ˜
Technology haisahau๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Munahangaika na bomba la hoima wakat tullow imefukuza wafanyakazi wote turkana

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ