Bomba za canter

Bomba za canter

pakapori

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
536
Reaction score
626
Habari wakuu..,

Samahani kwa usumbufu, najua mtakuwa mmelala saizi. Bila kupoteza muda wacha nieleze shida yangu.

Natafuta bomba za body ya Canter urefu wa futi 8 na upana wa futi 5.8.

Kwa yeyote mwenye nayo naomba tuwasiliane, its very urgently yaani inahitajika soon as possible.

Location ni Dar es salaam kimara mwisho. Contacts 0718163132.

Ahsanteni kwa kunisikiliza
 
Pia unaweza kwenda Tabata Matumbi utapata bomba zilizo vuliwa kwenye gari nyingine.
 
Pia unaweza kwenda Tabata Matumbi utapata bomba zilizo vuliwa kwenye gari nyingine.
Shukrani kwa kunipa wazo, za kuchonga gharama ni kubwa mno sio chini ya milioni kasoro laki nne hivi.., naimani zilizovuliwa bei itakuwa pungufu
 
Zilizovuliwa bei ni nafuu sana na una nafasi kubwa ya kufanya nao maelewano ya bei.
 
Back
Top Bottom