Bomba za silva kwa ajili ya kingo wanauza wapi na bei ikoje? Plz

Bomba za silva kwa ajili ya kingo wanauza wapi na bei ikoje? Plz

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,475
Habari zenu wadau.

Nauliza zile bomba zinazowekwa katika nyumba sehemu za ngazi au kingo kwenye balcony na sehemu kama hizo zinaizwa wapi na bei yake ikoje?

Bomba hizi hujengewa kwa ajili ya kuzuia mtu asiweze kubambikia upende mwingine mfano kwenye nyumba za ghorofa hizi huwekwa balcony na pia hujengewa kufuata ngazi.

Nauliza hizi za silva.

Naomba kujua bei ikoje kwa mita futi au vipi na ntazipata wapi.

Masada tafadhari.
 
Zinaitwa balusters tembelea maduka ya aluminium watakupa bei
 
Back
Top Bottom