Bomba za Stainless steel hand railing

Bomba za Stainless steel hand railing

chuma cha reli

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Posts
2,764
Reaction score
2,559
Habari wadau

Naulizia wauzaji wa hizi Bomba kwa ajili ya kuweka kwenye kingo za ngazi( staircase) au kwenye balcony

Nimetafuta nimekosa hivyo naomba msaada kujua naweza kuzipata wapi
 
Ngoja tusubiri waje watupe location na elimu
 
Habari wadau

Naulizia wauzaji wa hizi Bomba kwa ajili ya kuweka kwenye kingo za ngazi( staircase) au kwenye balcony

Nimetafuta nimekosa hivyo naomba msaada kujua naweza kuzipata wapi

Bomba nyingi tu!! Kama unahitaji kwa wingi nenda emirate alluminium sinza mkabala na vunja bei!! Ila kama ni chache ata kwenye baadhi ya branch zipo!!! Ila shida ni moja unahitaji kwa maana una una fundi? au wewe ni fundi? Mana unauziwa bomba tu unaundia eneo la tukio
 
Nashukuru sana Mkuu ,nimewasiliana nao

Btw...Nahitaji Mimi binafsi kwenye site yangu kiasi ni kidogo kwaajiri ya kuweka kwenye kingo za stairs na baraza
 
Tafuta fundi, mpe maelekezo, atajua wapi atapata na atakupa bei; ili akufanyie kazi.
 
Back
Top Bottom