chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,559
Ngoja tusubiri waje watupe location na elimuHabari wadau
Naulizia wauzaji wa hizi Bomba kwa ajili ya kuweka kwenye kingo za ngazi( staircase) au kwenye balcony
Nimetafuta nimekosa hivyo naomba msaada kujua naweza kuzipata wapi
Habari wadau
Naulizia wauzaji wa hizi Bomba kwa ajili ya kuweka kwenye kingo za ngazi( staircase) au kwenye balcony
Nimetafuta nimekosa hivyo naomba msaada kujua naweza kuzipata wapi
Nashukuru sana Mkuu ,nimewasiliana naoBomba nyingi tu!! Kama unahitaji kwa wingi nenda emirate alluminium sinza mkabala na vunja bei!! Ila kama ni chache ata kwenye baadhi ya branch zipo!!! Ila shida ni moja unahitaji kwa maana una una fundi? au wewe ni fundi? Mana unauziwa bomba tu unaundia eneo la tukio