Bombadier imefika??? Hii ndo saa 6 mchana

Bombadier imefika??? Hii ndo saa 6 mchana

Nina uhakika mimi nikiwa naenda arusha na ka vitz halafu hamna folen wala toch njian hainikamati yenyewe ikitoka dar lazima ipumzike korogwe wakat vitz hamna hiyo mwanzo mwisho mguu kati
 
Uliambiwa itafika muda huo ?

Kama haijafika inawezekana wapinzan wamechelewesha isifike mapema[emoji2][emoji23][emoji2][emoji23]
Nnayo picha apa sema nashndwa kuweka[emoji23] [emoji23] [emoji23]
tapatalk_1522660262592~2.jpeg
 
Nina uhakika mimi nikiwa na ka vitz halafu hamna folen wala toch njian hainikamati yenyewe ikitoka dar lazima ipumzike korogwe wakat vitz hamna hiyo mwanzo mwisho mguu kati
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nina uhakika mimi nikiwa na ka vitz halafu hamna folen wala toch njian hainikamati yenyewe ikitoka dar lazima ipumzike korogwe wakat vitz hamna hiyo mwanzo mwisho mguu kati
Usiutafute Uzi wako umeunganishwa huku mkuu.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hiyo ni habari ya kichochezi yaani hutaki kusubiri ata dakika 5 we ni kamili tu.
Hahahah amna uchochezi mkuu mbona ndo sa 6 hii inaendelea. Pia ndege inakuaga panctual sio kama gari
 
Back
Top Bottom