MrProsecutor
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 280
- 275
Nnayo picha apa sema nashndwa kuweka[emoji23] [emoji23] [emoji23]Uliambiwa itafika muda huo ?
Kama haijafika inawezekana wapinzan wamechelewesha isifike mapema[emoji2][emoji23][emoji2][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nina uhakika mimi nikiwa na ka vitz halafu hamna folen wala toch njian hainikamati yenyewe ikitoka dar lazima ipumzike korogwe wakat vitz hamna hiyo mwanzo mwisho mguu kati
Kwanini MkuuUnajiamini sana mkuu
Usiutafute Uzi wako umeunganishwa huku mkuu.Nina uhakika mimi nikiwa na ka vitz halafu hamna folen wala toch njian hainikamati yenyewe ikitoka dar lazima ipumzike korogwe wakat vitz hamna hiyo mwanzo mwisho mguu kati
Chadema hao watakuwa wameichelewesha.Nnayo picha apa sema nashndwa kuweka[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 732032
Hahahahaa wamenifanyia hujuma mkuuUsiutafute Uzi wako umeunganishwa huku mkuu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hiyo ni habari ya kichochezi yaani hutaki kusubiri ata dakika 5 we ni kamili tu.Kwanini Mkuu
Kuna traffic kaikamata huko anganiHabar wakuu,
Leo ndo tarehe 2/4/2018 Je Q400 yetu imeshafika??? Anaejua jamani.
Hahahah amna uchochezi mkuu mbona ndo sa 6 hii inaendelea. Pia ndege inakuaga panctual sio kama gariHiyo ni habari ya kichochezi yaani hutaki kusubiri ata dakika 5 we ni kamili tu.
Andaa mkojoNimewezaaaa
Hahahaha au ndo huyo wanamuita Trump. Nmeona uzi mmoja kuna jamaa anakamata huyooKuna traffic kaikamata huko angani
[emoji15] [emoji15] wanini tena MkuuAndaa mkojo
Huyo yupo huko biharamulo au bombardier imetokea Rwanda??Hahahaha au ndo huyo wanamuita Trump. Nmeona uzi mmoja kuna jamaa anakamata huyoo
Uchochezi wako huu unauliza kitu kama unawashwa washwa[emoji15] [emoji15] wanini tena Mkuu