Kuna Ndege ya ATCL Bombardier inazunguka sana kwenye anga ya Dar bila kutua, nimejaribu kuhesahabu kama mizunguko mitatu au minne.
Je inashida yoyote au kuna iliyoomba emergency landing?
Wajuvi wa hili tafadhali
Tufafanulie maelezo picha mkuu
inafanya mazoezi!!{jogging]Kuna Ndege ya ATCL Bombardier inazunguka sana kwenye anga ya Dar bila kutua, nimejaribu kuhesahabu kama mizunguko mitatu au minne.
Je inashida yoyote au kuna iliyoomba emergency landing?
Wajuvi wa hili tafadhali
hapa nadhani ni mafunzo yalikuwa yanafanyika. Kuna marubani wapya labda walikuwa wanafanyiwa on job training