Bombshell: Obama gave Wuhan lab Millions of Dollars to fund The Virus ..US intelligence ...

kama atakujibu naomba unitag MKUU nione atakujibu jibu gani ?!.....

Sent using My COVID-19
 

As a Diplomat na POTUS Utakuwa ni zuzu kama nyenzo yako pekee unayotumia Kupunguza Maadui na Kuongeza Allies ni kugawagawa dollar hovyo. You can't solve everything with American Taxes Sasa Huko Vyuoni Hao diplomats walienda kusomea Nini? Au we mtoa Mada Unapunguza Maadui zako Kwa Kuwatuliza na Mshahara wako? Huo si uzuzu? Yani badala kodi za Americans zitumike kuijenga miundombinu na kuinua uchumi wa marekani wewe unaenda kuzigawa kwa Maadui zako ili wasianzishe vita. Narudia uo ni uzuzu. Je siku uchumi ukishuka utawapa Nini? Iran wale wanatapatapa tu saizi hakuna funds za kipuuzi kutoka US.

Hayo ndo mambo ambayo Trump hayataki. Umeona Sasa hivi Trump na Kim Jong Un Wanavyoheshimiana? Trump amepeleka shingapi Kwa Jong Un zaidi ya Kukutana na kuongea kiutu uzima. Inaitwa Peace Through Strength. Angekuwa Obama angeshatuma midollar kibao kuwahonga, dollars hizo hizo Jong Un Anazitumia kutengenezea Silaha kwa Siri. Hiyo Ni Akili?

Hayo mambo ya kuhongana hongana ni ushamba na kuwaumiza Wamarekani ambao ndo walipa kodi.

Nb : Ushauri Punguza kuangalia cnn.
 
State Theorem? or a deep state theory? very confusing, there is no such a thing, go back to school

It was just a fair question .. Ukute hujui hata Hiyo deep state theory yenyewe ni nini

I'm done here.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…