13 August 2021
Tarime, Mara
Tanzania
BOMOABOMOA YAINGIA TARIME, WAZEE NA WAJANE HATARINI
Wakaazi washangaa kwanini TARURA wanataka kubomoa nyumba ambazo zipo ktk mji wa Tarime wakati kuna option / mbadala wa kutengeneza by-pass / barabara kupita nje kidogo na kuziacha nyumba hizo kama kuna ulazima wa kupanua barabara inyaopita karibu au katika mji huo wa mkoa wa Mara.
Umetolewa mfano miji mingi ina miradi ya barabara kama mji wa Unguja, Zanzibar au Nairobi Kenya lakini wapanga maendeleo ya Vitu kama barabara huicha mitaa mikongwe na kutengeneza by-pass au njia zinazopita nje ya mji ili kuepusha kuvunja makazi ya watu na wakati huo huo miji hiyo kupata barabara zinazoungani mji huo wa zamani na sehemu nyingine za mkoa au mikoa.