Bomu la Nyuklia la USSR (Urusi ya zamani) lililoishangaza Dunia

hio inaitwa Tsar bomb the biggest hydrogen bomb in the world with about 100megatons of TNT
 
hiyo picha inaonekana kama haijapigwa toka kwenye ndege!!! ni kama "ground photograph"
 
Midude yote hiyo ni kwa ajili ya kumua binadamu mwenzako!
Nalog off
 
 
Duuuuuu hii ilikuwa zaidi ya hatari na hivi sasa wanazidi kuzindua utumbo mwingine sijui wanaipeleka wapi dunia?
 
sasa hayo ni madhara ya bomo la tan 27 je satun tan 200 sindo balaa maana likidondoshea pale new York lazima ipaki history tu kuwa kulikuwaga na USA
 
Siku hizi hakuna haja ya kuwa na mabomu makubwa!

Zamani ilikuwa shida kupiga target kwa umakini wa hali ya juu ndio maana wakatumia mabomu makubwa sana!

Siku hizi mabomu yanaweza kupinpoint target kwa hivyo hakuna haja ya kuyafanya makubwa hivyo
 
Inaonekana USSR ilikuwa na nguvu kuliko URUSI ya sasa (maoni yangu tu)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…