Elections 2010 Bomu lililo mkosa kosa Zitto Kigoma

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470


"Mdogo wangu Bashiri ndiye aliyenikinga na bomu na hivyo yeye kujeruhiwa. alinivamia alipoona wamenilenga mimi na kurusha mabomu kule nilipo mie" Zitto Kabwe amabye ndiye Mbunge mteule kwa jimbo la Kigoma Kaskazini kipitia chama cha CHADEMA.




"'Ganda la risasi ya moto limeokotwa ndani ya ofisi ya CHADEMA nilimokuwamo wakati polisi wanapiga mabomu. polisi walitumia risasi za moto!naenda polisi sasa hivi. uchunguzi wa kina unatakiwa" Mh Zitto Kabwe akizungumza.

NB;
Huyu dogo alifanya kitendo cha kishujaa kumkinga Zitto inaonyesha alilengwa yeye.
 
Tungoje mawelezo ya mwema na watu wake,utasikia CHADEMA wanatembea na mabomu
 
Hawa jamaa sasa ni wauaji ati, sijui tutafika wapi, sasa hiyo risasi ya moto ingempata mtu .angepona?
 

hii mbaya sana!
 
Tungoje mawelezo ya mwema na watu wake,utasikia CHADEMA wanatembea na mabomu

Utasikia CHADEMA ni chama cha wahuni ndio walionza fujo we subili
 
Tuingie msituni jamani muda unatuishia eti..
 
Isee ninoma. Hy imetokea wap na ilikuaje mpak zitto akaw target kwa muda huo??
 
subiri watakapo pindisha ukweli; kigoma wameichoka ccm, miaka 45 ya uhuru, usafiri njia ni ya mjerumani aliyotumia kuchukulia manamba, kigoma umaskini ni wa hali ya juu japokuwa ni wachapakazi na wazalishaji wa mazao sana; na mzigo wa wakimbizi juu. Yaaani kwa kifupi wamesahahurika,

Angalia mikoa yote inayokumbatia ccm (pwani,lindi,mtwara,tabora,rukwa,dodoma,singida) maendeleo ni duni kwani ccm imewafanya shamba la bibi kuchukua kura na kuondoka wanarudi after 5 yrs, SASA KIGOMA wamesema BASI YATOSHA, Hongeleni sana .

Mh. Zito kazeni buti Mapambano bado yanaendelea
 
Hawa polisi baadhi ni vibaraka tuu,ngoja tudai haki kwa nguvu ya umma.Tutawaomba dada zetu wawanyime chakula na nanihii polisi wasaliti.
 
Hawa polisi baadhi ni vibaraka tuu,ngoja tudai haki kwa nguvu ya umma.Tutawaomba dada zetu wawanyime chakula na nanihii polisi wasaliti.


Hapo kwenye RED wataenda Magereza ya Kike kukopa
 
safi geshi la polisi next time hakikisha mnalenga kichwani hao ni bakteria wa kuanzisha fujo dawa kuuwa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…