GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mgunda kocha wa namungo ni mwana s simba na zilitolewa penalty 3 na kadi nyekundu juuNikiona mwana Simba SC yoyote atashangaa Matokeo ya leo huko Mwanza na Kuumia nayo nitamshangaa mno na pengine hata kumuona hana Akili.
85% ya Viongozi Pamba FC ni Yanga SC tupu+ GSM Yanga SC Kuidhamini + Kocha Minziro mwana Yanga SC kufa Mtu = Ushindi mnono Leo.
Makala kama hizi zinawasaidia Sana viongozi wa Simba kutoboresha timu.Nikiona mwana Simba SC yoyote atashangaa Matokeo ya leo huko Mwanza na Kuumia nayo nitamshangaa mno na pengine hata kumuona hana Akili.
85% ya Viongozi Pamba FC ni Yanga SC tupu+ GSM Yanga SC Kuidhamini + Kocha Minziro mwana Yanga SC kufa Mtu = Ushindi mnono Leo.
Simba yenyewe imeshashindwa kumfunga yanga inakuwaje mtegemee pamba amfunge yanga? Yaani anayegombania ubingwa na yanga anachakazwa Kila mara alafu yule wa chini uko kwenye msimamo ndio amuweze yanga🤔🤔🤔Nikiona mwana Simba SC yoyote atashangaa Matokeo ya leo huko Mwanza na Kuumia nayo nitamshangaa mno na pengine hata kumuona hana Akili.
85% ya Viongozi Pamba FC ni Yanga SC tupu+ GSM Yanga SC Kuidhamini + Kocha Minziro mwana Yanga SC kufa Mtu = Ushindi mnono Leo.
Anayejua kufunga vyema ni KijiliNilipoona yule mchezaji kabaki na kipa tuu akapiga mpira uchwara nje basiiiiii hakuna mechi hapo