Avicii
Senior Member
- Sep 16, 2023
- 102
- 173
Habari zenu Wana jf wote.
Hii ni kwa wale wapenzi wa rock music bendi maarufu ya rock iliyosumbua miaka ya 80 bon Jovi Leo ijumaa wameachia album yenye nyimbo 12. Album hiyo inajulikana Kama forever.
Bon Jovi walitamba na nyimbo zao maarufu LIVIN ON PRAYER, ALWAYS, ITS MY LIFE na zinginezo nyingi. Kama wewe ni mojawapo wa mashabiki wa rock ni muda wako kuisikiliza kwani jamaa hawanaga kazi mbovu tayari ishaanza kushika platform za muziki duniani