Hotel nzuri na ya kisas itafunguliwa hivi karibuni karibuni wanajamvi:kuna vyumba vya kulala,self contain,bwawa la kuogelea,michezo ya watoto,pamoja na club ya kisasa kabisa karibuni sana!
Kampuni yangu inaomba tenda za kusupply; Cleaning materials, clothings (bedsheet, curtains, staff uniforms etc).; Food stuffs mf Mchele from Mbeya nk. Pia hii ni consultancy firm kwa ajili ya kuwaandalieni Busness documents nk.
Karibu. kimiconsultancy@gmail.com