Sacsosanct
Member
- Sep 2, 2014
- 27
- 36
Nahitaji fedha kwa kuweka bond kiwanja, nipo dar, anayejua napoweza pata tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha, nataka nikiweke bond tu mzeeKama unauza kiwanja Sema tu mkuu usije na gia ya kutaka mkopo
Dar, plot kiluvya-pwan, 20×20, kina hati, value: 9 million, required .....but just a 50% ya thamaniWewe upo wapi?
Kiwanja kipo wapi?
Kina ukubwa gani?
Kina hati?
Gharama ya kiwanja
Unahitaji kiasi gani?
Jieleze humo unaweza pata mdau hata humu.
Bondi za viwanja huwa changamoto sana.
Kula 3Dar, plot kiluvya-pwan, 20×20, kina hati, value: 9 million, required .....but just a 50% ya thamani
HahahaKila la heri
Fungua inbox mzeeKula 3