Sacsosanct
Member
- Sep 2, 2014
- 27
- 36
Hahaha, nataka nikiweke bond tu mzeeKama unauza kiwanja Sema tu mkuu usije na gia ya kutaka mkopo
Dar, plot kiluvya-pwan, 20×20, kina hati, value: 9 million, required .....but just a 50% ya thamaniWewe upo wapi?
Kiwanja kipo wapi?
Kina ukubwa gani?
Kina hati?
Gharama ya kiwanja
Unahitaji kiasi gani?
Jieleze humo unaweza pata mdau hata humu.
Bondi za viwanja huwa changamoto sana.
Kula 3Dar, plot kiluvya-pwan, 20×20, kina hati, value: 9 million, required .....but just a 50% ya thamani
HahahaKila la heri
Fungua inbox mzeeKula 3