N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Oct 11, 2021 #21 Truth Teller said: alikufa kufaje huyo? Click to expand... Alienda kuiba sijui mbezi huko akachapika hadi akadedi
Truth Teller said: alikufa kufaje huyo? Click to expand... Alienda kuiba sijui mbezi huko akachapika hadi akadedi
Truth Teller JF-Expert Member Joined Aug 20, 2016 Posts 1,623 Reaction score 2,892 Oct 11, 2021 #22 nguvu said: Alienda kuiba sijui mbezi huko akachapika hadi akadedi Click to expand... kheee? bondia mkubwa anakuwa mwizi wa mtaani??? em nipe story vyema
nguvu said: Alienda kuiba sijui mbezi huko akachapika hadi akadedi Click to expand... kheee? bondia mkubwa anakuwa mwizi wa mtaani??? em nipe story vyema
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Oct 11, 2021 #23 Truth Teller said: kheee? bondia mkubwa anakuwa mwizi wa mtaani??? em nipe story vyema Click to expand... Ndio hivyohivyo mkuu, kaiba wajuba wakamuotea
Truth Teller said: kheee? bondia mkubwa anakuwa mwizi wa mtaani??? em nipe story vyema Click to expand... Ndio hivyohivyo mkuu, kaiba wajuba wakamuotea
TEAM 666 JF-Expert Member Joined Dec 7, 2017 Posts 4,399 Reaction score 8,594 Oct 11, 2021 Thread starter #24 Truth Teller said: kheee? bondia mkubwa anakuwa mwizi wa mtaani??? em nipe story vyema Click to expand... alikua na ubabe wa kizamani wakupigana kwenye kumbi za starehe Kama sikoseii kifo chake kilitokana na ugomvi kwenye baar alipigwa na chup ya bia
Truth Teller said: kheee? bondia mkubwa anakuwa mwizi wa mtaani??? em nipe story vyema Click to expand... alikua na ubabe wa kizamani wakupigana kwenye kumbi za starehe Kama sikoseii kifo chake kilitokana na ugomvi kwenye baar alipigwa na chup ya bia
M makodinda JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 1,540 Reaction score 1,299 Oct 12, 2021 #25 Hila jamaa sugu migumi yote bado upo tu