Bondia Amir Khan ala kichacha nguvu

Bondia Amir Khan ala kichacha nguvu

simanyane

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
2,245
Reaction score
718
Yule bondia machachari Amir Khan leo asubuhi amepigwa kwa KO na bondia Alveres toka S.America ktk round ya 6
 
Waingereza walimpamba sana, acha apigwe tu, hamna namna! Sasa hivi watamuita ni bondia mwenye asili ya pakistan, angeshinda wangesema bondia mwingereza matata toka bolton. Waingereza bhana!
 
Mbona matokeo ya kawaida tu hayo kwa wanandondi?
 
Back
Top Bottom