Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Jamaa mwenye ngumi kama jiwe,francis cheka amepata ofa ya kusoma form one katika shule moja hapo moro. Wiki ijayo ataanza pre form one. Ofa hyo inakuja wiki moja baada ya kupewa viwanja viwili kama zawadi na serikali.

unaogopa mingumi mkuuNipo tayar akipanda dau nimtoe number aka maths ila anilipe kabisa maana kudai noma ila akubal viboko akikosea.
Sio mzumbe remix mwenge?
Au Mapambano kwa Mzili,P.Diddy na Said white
Ni ujinga!!! Form one wanafundisha nn?? Angalia mtaala anoataka masomo atakayosoma, historia za mkwawa,? define density,? types of rainfall,? importance of mashroom? Na mengine mengi ya type hiyo. Huyu angetafuta college akapiga certificate course flan specific mfano biashara n.k maana cheka ni mtu mzima amezunguka sehem nyingi na anajua mambo mengi elimu yake "practically " ni kubwa kuliko hata form four Leaver .. watanzania tubadilike Kwa hili jamani ...... " mtazamo tu "