Bondia Hassan Mwakinyo: Bondia Mtanzania Kwenye Habari SkySports

tutafikatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
3,327
Reaction score
4,624
Huyu jamaa nilikuwa simfahamu. Mara paap, namuona SkySports akimtwanga mzungu kwa dakika mbili.



Sam Eggington was on the end of a devastating defeat in Birmingham as he was stopped by Hassan Mwakinyo inside two rounds.

In what was supposed to be a routine outing for the popular Stourbridge man things came crashing down for 'The Savage' who was pummeled from pillar to post for one-and-a-half rounds before the referee mercifully waved off the contest.

Mwakinyo, by way of Tanzania, came out the blocks firing, clearly intent on making the most of his moment on the big stage.

Khan vs Vargas: Sam Eggington suffers shock stoppage defeat on home soil
 
Afanikiwe aisee..atuwakilishe zaidi na zaidi
 
Ngumi 11 zote zinaingia shavu la kulia shavu LA kushoto inapigwa uppercut cross cross uppercut mpaka Ngumi 11 refarii akaona hii sio atakufa huyu
 
Ngumi 11 zote zinaingia shavu la kulia shavu LA kushoto inapigwa uppercut cross cross uppercut mpaka Ngumi 11 refarii akaona hii sio atakufa huyu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo mzeee baba ile round ya kwanza ingekuwa na sekunde Za nyongeza.. Pambano lingeisha round ya 1....alimtia jab jab jab cross jab cross Kama 7 hivi... Jamaa akalewa Ngumi mara ngweeeeee ngweeeeee... ile kurudi Jamaa hakutaka ulemvi umkate mzungu akaanza kumlaaani vilevi vyepeesi jab jab ghafla macross yakaanza kilevi heavy Jamaa hata guard akasahau.... Wekaaaaa Wekaaaaa imoooo mpaka mashabiki wake pale Birmingham wakaanza kumhesabia Ngumi oneeee twoooo three Dogo kanifurahisha sana miaka 23 very promising
 
Kinachosikitisha ataachwa aishie njiani hewani hewani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…