Bondia Karim Mandonga amchakaza Alibaba

Bondia Karim Mandonga amchakaza Alibaba

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Bondia Karim Mandonga amefanikiwa kupata ushindi wa pointi dhidi ya Alibaba Tarimo katika pambano la uzito wa kati lisilo la ubingwa la Raundi 4.

Akizungumza baada ya ushindi huo Mandonga amesema alichoahidi amekitimiza kwa kuwa mpinzani wake hakuw ana uwezo wa kupigana naye.

Upande wa Alibaba amesema anaamini hilo pambano lilikuwa sare, hivyo mpinzani wake amebebwa.
 
Nimehuzunika sana Mandonga kushinda, sisi mashabiki wake tumeshazoea apigwe tu..woiii
 
Back
Top Bottom