Bondia Manny Pacquiao apoteza pambano lake dhidi ya Yourdenis Ugas

Nikimtoa utamuweka nani??7-- Adrian "the problem" Bruner??[emoji1787]
Yaan eubank jr umuweke kundi moja na canelo????hayo ni matusi


Kiukweli eubank jr ana safari ndefu kumfikia baba yake
 
Si huyo Errol Spence jr anayekataa kupambana na Terrence "bud" Crowford !!?----Huyo bado sana ingawa bado ni unbeaten, sivutiwi kabisa the way he fights.

Hajafikia level ya Mayweather jr, Colbert, Crowford, Jones, Eubank jr
Yani unamfananisha Chris Eubank Jr na Errol Spence.

Kijana acha kufuatilia ngumi, fuatilia michezo mingine.
 
Yaan eubank jr umuweke kundi moja na canelo? Hayo ni matusi

Kiukweli eubank jr ana safari ndefu kumfikia baba yake
Pambano lake la mwisho hivi karibuni umeliona?
 
Hapa nimethibitisha hata mabondia uliowaandika hujui uzito wanaocheza/waliocheza ndio maana una payuka payuka.

Bwana mdogo kuna michezo mingi ya kufuatilia, achana na boxing.
 
Yani unamfananisha Chris Eubank Jr na Errol Spence.

Kijana acha kufuatilia ngumi, fuatilia michezo mingine.


Na wewe fuatilia mchezo wa bao tuache sisi na boxing yetu.

You don't know boxing at all.
 
Shawn Porter kupigwa na Terence hilo liko wazi haliitaji mjadala.
 
Hapa nimethibitisha hata mabondia uliowaandika hujui uzito wanaocheza/waliocheza ndio maana una payuka payuka.

Bwana mdogo kuna michezo mingi ya kufuatilia, achana na boxing.


Licha ya weights zao, katika boxing crafts ndiyo inayo matter, na mimi ninazungumzia overal boxing crafts zao au hujui kwamba mabondia kulingana na hali ya kimchezo wanaweza kupanda na kushuka uzito???.


1---- light 49kg
2----Fly 51kg
3---Superfly 52kg
4---Bantam 53.5
5--Super bantam 55kg
6---Feather 57kg
7---light 61kg
8---Super light 63.5kg
9---Welter 67kg
10---Super welter 70kg
11--- Middle 72.5kg
12---Supper middle 76kg.
13---light heavy 79kg
14----Cruiser 91kg
15---Heavy weight above 91kg.

Crafts and style not only make a good fight but also prove boxer smartness.
 
Mayweather alimwambia Pacquiao, yeye "Mayweather" anapigana anapojisikia kupigana ila Pacquiao inabidi apigane maana inamlazimu apigane hana jinsi.
Kama umeshawai cheza video game, tena game za tournament na mwenzako anatumia style moja ni kama Mayweather he has nothing special, Manny waligoma asiende Olympic sababu ya style yake yakupigana anachanganya martial arts sort of style kwenye boxing angalia style study zake ujifunze na ni aibu kumfananisha na Mayweather.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Unataka kumaanisha mini?
 
Akiendelea kupigana, kuna siku atadhalilika na heshima yake yote itafutika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…