Bondia Shoga Adundwa Kwa Tko, Wenzake Wamshambulia Mitandaoni

Bondia Shoga Adundwa Kwa Tko, Wenzake Wamshambulia Mitandaoni



Bondia Orlando Cruz amekutana na kipigo kikali kutoka kwa Terry Flanagan ambaye alimuangusha na kushinda kwa TKO.

Cruz amekutana na kipigo hicho ikiwa ni mara ya kwanza tokea atangaze yeye ni shoga mwaka 2012 lakini bondia mwenzake amemshambulia hadharani.



Peter Fury ambaye ni mmoja wa mabondia nyota na Frankie Gavin pia, wameandika kwenye mitandao ya kijamii wakieleza kipigo cha Cruz kinaonyesha tofauti ya mwanamke kamili, dhidi ya asiyekamilika.





Maneno ya mabondia hao wawili kupitia mtandao wa Twitter yanaonyesha kiasi gani walivyokerwa na uamuzi wa Cruz kujitangaza hadharani kwamba yeye ni shoga.


Wakati alipofanya hivyo, mabondia wengi walipinga wakionyesha wameingiliwa kwa kuwa inaonekana mchezo wa wanaume kamili, sasa wako ambao wameanza kufanya tabia hiyo mbaya na ya hovyo kabisa.



 
Kwahiyo Huyu baunsa mpinga mangumi ana mjanja wake?
 
Kwa wenzetu shoga ni hata yule anayedandia wenziwe.ila kibongobongo huyu ni mjanja
 
Alitaka kutuaminisha kwamba ushoga sio tatizo.ikashindikana.
 
Kwa hiyo dume la miraba mi4 wenzie wanamsukumia nyama
 
Wakati hilo likiendelea, vilabu vinavyoshirika ligi mkuu nchini Uingereza vimeitumia wikend hii kuwapa Support members wa LGBT (mashoga na wasagaji) kwa kuvaa captain badge zenye rangi ya rainbow. Hii ikiwa ni mpango wa kuuambia ulimwengu kuwa wanautambua na wanauheshimu uwepo wa hawa ndugu zetu. Sijui tunaelekea wapi
 

Wanaume tujitoaga akili....yaan unampumulia mwenzio na kengere zile pale kati....pyuuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…