Bondia wetu asema nimeondoka Tanzania kama mkimbizi

Huyu kama anataka kuwafahami watanzania vizuri apigwe kama mara tatu mfululizo.
 
Mi nampongeza kwa ushindi ila ajipange pia afahamu kuwa kina Amir Khan na Floyd wana timing na wanajua kucheza na akili ya mpinzani tofauti na yule Mzungu aliezubaa kuweka blocks..asijisifu sana akasahau kuna W/D/L
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…