Sasa mkuu hizi video zote zinapatikana youtube sioni sababu yoyote ya msingi ya kutujazia ukarasa hapa. kama nia yako ni kuelimisha kwa wale wasiowaelewa tafadhali toa link na video moja inatosha. na wewe jifunze kucoment kutoka kichwani mwako, na sio copy and paste.