Bonge asipokula siku 2 anapungua, mimi mwembamba mbona nakula mboga 8 wiki nzima niko vile vile?

Kula vizur sio kunenepa unatakiwa uridhike mkuu mwili utakuja unaonekana hujaridhika na ulicho nacho kuwa mwenye kujitosheleza anza na raho yako na unavoishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…