K KakaNanii JF-Expert Member Joined Sep 28, 2008 Posts 325 Reaction score 52 Oct 6, 2010 #1 Kama ingekuwa hapa BONGO bibi harusi angeingia mitini !!! Mnaona wenzetu wanzungu walivyokuwa na upendo wa kweli !!!!!! Attachments HARUSI YA KUFANA-JAMII.jpg 37.3 KB · Views: 320
Kama ingekuwa hapa BONGO bibi harusi angeingia mitini !!! Mnaona wenzetu wanzungu walivyokuwa na upendo wa kweli !!!!!!
L Luveshi Senior Member Joined May 22, 2010 Posts 186 Reaction score 71 Oct 6, 2010 #2 Watavumiliana kwenye shida na raha hao............
P PhD JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 4,692 Reaction score 3,891 Oct 7, 2010 #3 Luveshi said: Watavumiliana kwenye shida na raha hao............ Click to expand... kwenye milima na mabonde
Luveshi said: Watavumiliana kwenye shida na raha hao............ Click to expand... kwenye milima na mabonde
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,041 Oct 7, 2010 #4 Du!huyo bibi harusi ni wa ukweli,ni wa kufa na kuzikana.
minda JF-Expert Member Joined Oct 2, 2009 Posts 1,068 Reaction score 67 Oct 7, 2010 #5 ah hawa si wapya walishaonjana siku nyingi wamebariki ndoa tu na ndio maana wakaamua kufanya mambo kivyao!!!
ah hawa si wapya walishaonjana siku nyingi wamebariki ndoa tu na ndio maana wakaamua kufanya mambo kivyao!!!
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,332 Oct 7, 2010 #6 PhD said: kwenye milima na mabonde Click to expand... kwenye njaa na shibe pia magonjwa na tabu
Ngangasyonga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2010 Posts 455 Reaction score 71 Oct 7, 2010 #7 kweli hawa ni mpaka kifo kiwatenganishe!!