Bonge la harusi

KakaNanii

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2008
Posts
325
Reaction score
52
Kama ingekuwa hapa BONGO bibi harusi angeingia mitini !!! Mnaona wenzetu wanzungu walivyokuwa na upendo wa kweli !!!!!!
 

Attachments

  • HARUSI YA KUFANA-JAMII.jpg
    37.3 KB · Views: 320
Watavumiliana kwenye shida na raha hao............
 
Du!huyo bibi harusi ni wa ukweli,ni wa kufa na kuzikana.
 


ah hawa si wapya walishaonjana siku nyingi wamebariki ndoa tu na ndio maana wakaamua kufanya mambo kivyao!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…