LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Nimewatazama Arsenal wanavyo cheza ..Wana timu nzuri sana.. Wenger was just wasting our mbalimfalme time...
Unaona kabisa timu INA mipango ..Enzi za Wenger mkishapigwa goli mbili ndo game imeisha ...
Naona Arsenal wakipata magoli Mengi sana Leo..
Conclusion: Unai Emery ni bonge la Kocha...