Ibrahim300
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 390
- 68
Siku chache kwa mtandao kulizuka mijadala mikali baada ya Bonge La Nyau kuingia kwa mtandao na kudai kuwa Diamond aache kashfa.
Lakini sahizi kumeibuka mengine kuwa Bonge La Nyau hana bifu lolote na mtu yeyote bali ni wafidhuli waliingia kwa akaunti yake ya Facebook na kuangusha meseji hio pamoja na kuweka utapeli flani kwa mtandao.
Utapeli wenyewe ni kuwa eti Diamond amemdiss Ali Kiba na eti kuwa Ali Kiba anatafuta mikopo kutoka kampuni ya PRIDE, yenye lebo ya FAIDA NA PRIDE.
Matapeli hao walikuwa wameingia kwa akaunti ya Bonge La Nyau na kuongezea kuwa Ali Kiba anaomba mikopo kujenga nyumba. Halafu waliachilia link ambayo itakupeleka direct hadi kwa page hio ya mikopo, ambayo baada ya kufanywa utafiti na admin wetu bkuHABARI iligundulika kuwa ni link ya utapeli.
So kiufupi hakuna bifu lolote kati ya Bonge La Nyau na Diamond...