You are so funny guy! Hivi ulikuwa wapi mwaka 2005 ambapo Rais akisaidiana na akina Adam Kimbisa waliweka ahadi kemkem za kumaliza tatizo la foleni Dar es salaam kwa kuleta mabasi yaendayo kasi plus kupanua barabara ikiwemo kujenga hizo fly over?
Kwa hiyo leo ndo umeona katoa ahadi zaidi kuzishinda alizowahi kutoa?
Nafikiri hali kama hiyo itakuja kutokea miaka 50 hadi mia moja ijayo iwapo kutapatikana viongozi wanaojua kutafuta hela kama Mkapa.