Ngushi JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 9,065 Reaction score 18,358 Jun 25, 2017 #2 Bongo bahati mbaya
URBAN MONKEY JF-Expert Member Joined Jun 4, 2017 Posts 720 Reaction score 1,329 Jun 25, 2017 #4 watu wabayaaaa duuh!!!
Wissman JF-Expert Member Joined Dec 12, 2014 Posts 1,012 Reaction score 1,284 Jun 27, 2017 #5 Wazawa kibao wanafanya mambo makubwa kwa wananchi wanaowazunguka wananyimwa hiyo. Roho mbaya na chuki. Watu wanajenga barabara, wanajenga shule, wanasaidia jamii, barabara za maeneo yao kuitwa majina yao hai mkuu wa mkoa atajua
Wazawa kibao wanafanya mambo makubwa kwa wananchi wanaowazunguka wananyimwa hiyo. Roho mbaya na chuki. Watu wanajenga barabara, wanajenga shule, wanasaidia jamii, barabara za maeneo yao kuitwa majina yao hai mkuu wa mkoa atajua
The Chosen One JF-Expert Member Joined May 24, 2017 Posts 3,579 Reaction score 17,011 Jun 27, 2017 #6 Bora tu mana hizi dharau walishindwa kuita hata bashite street
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Jun 27, 2017 #7 Bongo bahati mbaya kwa kweli
S Sumu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,001 Reaction score 6,194 Jun 27, 2017 #8 Kama unampenda mno huyo mkenya kampe shamba lenu kijijini kwenu.
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,811 Reaction score 49,053 Jun 27, 2017 #9 Ha ha maisha raha sana
K kariankei Senior Member Joined Jun 25, 2016 Posts 162 Reaction score 29 Jun 27, 2017 #10 Kwa nn wasiseme samatta street?
bleedingsouls Senior Member Joined Jul 16, 2015 Posts 123 Reaction score 108 Jun 27, 2017 #11 Prof Ndunguru said: View attachment 530486 Click to expand... who is Wanyama? kindly nieleweshwe?