Bongo Celebrities wanaume na tabia chronic ya kuvaa miwani za kike!

Bongo Celebrities wanaume na tabia chronic ya kuvaa miwani za kike!

movingtarget

Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
35
Reaction score
1
Big Sun Glassses ni fashion lakini kuna za kiume na za kike. Baadhi ya Ma celebrity wetu wanachemsha. Nimeona wengi lakini cheki hawa hapa. Mmoja wa hawa ni chronic zaidi kwa kutojua men's sun glasses!

chidi.jpg

benz.jpg

ray.jpg

masanja.jpg

makamu.jpg
 
Attachments

  • kile2 - Copy.JPG
    kile2 - Copy.JPG
    8.8 KB · Views: 87
  • kike1 - Copy.JPG
    kike1 - Copy.JPG
    10 KB · Views: 91
  • kike4 - Copy.JPG
    kike4 - Copy.JPG
    9.4 KB · Views: 79
  • kike5 - Copy.JPG
    kike5 - Copy.JPG
    26.6 KB · Views: 125
  • kike3 - Copy.JPG
    kike3 - Copy.JPG
    136.4 KB · Views: 92
na lipstick nayo ipo ya wanaume na wanawake?
 
hiyo ya ray ndio kabisaa inaonekana kua ya ma-sister....
 
Big Sun Glassses ni fashion lakini kuna za kiume na za kike. Baadhi ya Ma celebrity wetu wanachemsha. Nimeona wengi lakini cheki hawa hapa. Mmoja wa hawa ni chronic zaidi kwa kutojua men's sun glasses!

chidi.jpg

benz.jpg

ray.jpg

masanja.jpg

makamu.jpg

unataka kuniambia hata mheshimiwa naye anavaa ya kike?,....ntamshtaki huyo aliyemshkia mwavuli.....
 
Sina ujuzi mkubwa wa miwani (huwasivai) ila ya huyo Ray ndo Feminin haswa
 
unataka kuniambia hata mheshimiwa naye anavaa ya kike?,....ntamshtaki huyo aliyemshkia mwavuli.....

No walizovaa hao waheshimiwa (Bilal na mwenyeji wake) sio sun glasses hata kidogo. Hiyo ni miwani ya kawaida ya macho ambayo rangi yake ubadirika kutokana na kiasi cha mwanga kilichopo. Jua likiwa kali inabadirika kuwa nyeusi na jua likipungua makali inakuwa ya kawaida tu.

Tiba
 
Uncle kweni sisi hatuvai miwani, hiyo si tint
 
Kudadeki! Huyu Gharabu Balahali utadhani kipofu vile anavyoangalia pembeni. Ona walivyo feki. Hata hawataki kutazamana machoni. Wameficha macho yao ya kifisadi.
 
sio mzoefu sanaaaa ila ya ray ni yakike kabisaaaaaaaa, ya masanja inawezekana anajua ni ya kike kwasabau na yeye ame appear ki kikekike pale.
 
hivi ray kapaka lipstick ya purple au ni macho yangu mweh:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
 
Back
Top Bottom