bongo chat room

bongo chat room

naughty_bee

Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
12
Reaction score
6
jamani nauliza kama kuna mitandao yoyote yakuchat na wabongo wenzangu imenijia hamu ya toka enzi za darhotwire naomba nambie kama kuna website yoyote au app. shukran nimeona moja inapatikana paltalk inaitwa bongo lakini kila nikingia sioni mtu.


jamani kuna amtu katoa wazo lakufungua chat room yetu sasa mimi nimefungua kutoka paltalk nimeifanya ya basic for now ili nione watu wangapi watakua interested njooni muni support. one problem room haiwezi kua open mpaka admin awe online so if you come ill make everyone an admin atleast iwe online kwa kila mtu na time yake.
thanks link iko below
BONGO - Paltalk Room
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nifate hata Mimi mp tuchati
Nimewahi nafasi ya joseverest!
 
Mambo yote saivi ni whatsapp,nakumbuka pia enzi za darhotwire ilikuwa poa sana.
 
SIKILIZA - CLOUDS FM.png
 
Mkuu unaonaje tuungane tutengeneze wa kwetu.
 
Back
Top Bottom